Home > Topic > best
401 " The best is always worth waiting for. And once you taste it, no other taste will do. "
― T.F. Hodge , From Within I Rise: Spiritual Triumph Over Death and Conscious Encounters with "The Divine Presence"
402 " He who helps you in your worst moment well deserves to be your best hero! "
― Mehmet Murat ildan
403 " I'm going to bed, where I may die. "
― Diana Wynne Jones , Howl’s Moving Castle (Howl’s Moving Castle, #1)
404 " Usiwapoteze marafiki zako wa mwanzo kwa sababu ya ujinga wako, wala usiwaache marafiki zako wa mwanzo kwa sababu ya ujinga wao. "
― Enock Maregesi
405 " Marafiki zako wa mwanzo ni wazuri kuliko wote. "
406 " Marafiki zako wa mwanzo ambao bado ni marafiki zako mpaka sasa ni wazuri kuliko wote kutokana na sababu mbalimbali: Wamekuwepo pamoja nawe katika shida na raha; wanakujua vizuri unapokuwa na furaha, na wanakujua vizuri unapokuwa na huzuni; mmezoeana kwa miaka mingi na wanaujua hata utani wako wa ndani; wanajua nini unapendelea zaidi na nini hupendelei zaidi, na wanazijua sifa zako za ushupavu na sifa zako za udhaifu. Hata hivyo, katika maisha yetu, tunahitaji marafiki wa aina zote mbili kurahisisha maisha. Marafiki wapya hutuongezea viungo muhimu katika maisha yetu wakati marafiki wa mwanzo ni nguzo au miamba imara ya maisha yetu, na ndiyo watu hasa watakaotusaidia katika shida na raha! Usiwapoteze au usiwaache marafiki zako wa mwanzo lakini jenga mahusiano mapya. Marafiki zako wa mwanzo ni dhahabu, wa sasa ni fedha. "
407 " If you were picky about who you worked with in the Wild North, you'd be quickly left with no one to choose. You could try to pick the best of them, but you'd have to dig them up first. "
― Dean F. Wilson , Dustrunner (The Coilhunter Chronicles, #3)
408 " Kuwa makini na kila kitu unachofanya kwa maana ubongo ni kitu cha ajabu, ubongo una uwezo wa kukupotosha. "
409 " Sikujui. "
410 " Sikujui. Lakini naamini hungependa kuishi maisha yako hapa duniani bila kuacha urithi au kumbukumbu ya aina yoyote katika jamii. Zifuatazo ni ngazi tano muhimu zitakazofanya uache dunia katika hali nzuri kuliko ulivyoikuta: Tambua vitu vya muhimu katika maisha yako ijapokuwa unaweza kuacha alama katika dunia bila kujitambua baada ya kuondoka; Tumia kipaji ulichopewa na Mungu; Fanya kazi kwa bidii na maarifa; Shindana na wenzako kuwa juu zaidi katika tasnia uliyojichagulia; Kuwa makini na kila kitu unachofanya kwa maana ubongo ni kitu cha ajabu, ubongo una uwezo wa kukupotosha. "
411 " Ukitambua vitu vya muhimu katika maisha yako hapa duniani na kuvipa kipaumbele cha kwanza, ukatumia kipaji ulichopewa na Mungu na ukafanya kazi kwa bidii na maarifa, halafu ukashindana na wenzako kuwa juu zaidi katika tasnia uliyojichagulia, ukafanya kila kitu kwa makini ukihofia maamuzi ya ubongo wako, utaacha urithi kwa faida ya vizazi vijavyo. Kuwa na akili, kuwa na uwezo wa kujiwekea malengo, kuwa mchapakazi hodari. Namna hiyo, hakuna kitakachoweza kushindikana. "
412 " Sikujui. Lakini naamini hungependa kuishi maisha yako hapa duniani bila kuacha urithi au kumbukumbu ya aina yoyote katika jamii. "
413 " Tambua vitu vya muhimu katika maisha yako ijapokuwa unaweza kuacha alama katika dunia bila kujitambua baada ya kuondoka. "
414 " Tumia kipaji ulichopewa na Mungu. "
415 " Fanya kazi kwa bidii na maarifa! "
416 " Shindana na wenzako kuwa juu zaidi katika tasnia uliyojichagulia. "
417 " Right thinking is your best light in this dark universe; it is your best hope in your worst hopelessness! "
418 " Want something true?- I killed god... ...Hahaha, look your face... you started believing me... whaterver to be honest god is the world best Illusion in this world "Matrix". "
― Deyth Banger , The Life of One Kid 1 (The Kid.D #7)
419 " Sometimes, life takes you to a stage where you become oblivious of the world and think that you are the best "
― Neelam Saxena Chandra , Stella - An extraordinary tale of an ordinary girl
420 " It was simply that they had very different ideas of what “best” meant. "
― Seanan McGuire , Every Heart a Doorway (Wayward Children, #1)