6
" Mfalme Sulemani alikuwa mtu mwenye hekima kuliko wote ulimwenguni. Anatushauri, “Adui yako akiwa ana njaa, mpe chakula; Tena akiwa ana kiu, mpe maji ya kunywa; Maana utatia makaa ya moto kichwani pake; Na BWANA atakupa thawabu (Mithali 25:21-22). Yesu anasema jambo fulani linalofanana sana na hilo katika mafundisho Yake yaliyofuata (Mathayo 5:44-45). Kitendo cha kutukanwa, kupigwa, kushtakiwa au kulazimishwa kubeba mzigo mzito usio wa kwako kinaweza kusababisha mafutu mabaya kabisa katika asili ya binadamu. Yaani, chuki, hasira, ukatili na hata vurugu. Lakini pale wale waliobarikiwa kuwa na hekima wanapojikuta katika majaribu makubwa kama hayo tabia yao haitakiwi kuwa ya shari, inda au ya kulipiza kisasi. Bali inatakiwa kuwa ya kusaidia, kuwa na ridhaa ya kutenda mambo mema, na kuwa mwema kwa wengine siku zote. "
― Enock Maregesi
11
" Kilio kikuu cha Yesu, “Eloi, Eloi, lama sabakthani?”, yaani, “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”, na “Imekwisha”, vilitabiriwa katika Zaburi 22 ili watu waliompinga Kristo waamini kama Yesu alikuwa Masihi. Zaburi 22 ulikuwa wimbo maarufu katika kipindi cha karne ya kwanza, kipindi ambacho Yesu alizaliwa na kufa, uliotungwa na mfalme Daudi, ulioitwa ‘zaburi ya mateso na matumaini ya mwadilifu’. Kwa hiyo Yesu aliposema maneno hayo yaliwaingia watu akilini, na kuanzia hapo imani hasa ya Ukristo ikachukua kasi hadi leo hii. Zaburi 22 inaanza na “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?” na inaisha na “Imekwisha”, miongoni mwa maneno saba aliyoyasema Yesu pale msalabani Golgotha. Kwa hiyo, Zaburi 22 ni utabiri wa kifo cha Yesu. "
― Enock Maregesi
13
" The story hangs in the night air between them. It is very latem, and if father or daugther stepped to the window, tehyw ould see the Suktara, star of the impending dawn, hanging low in the sky. But they keep sitting at the table, each thinking of the story differently, as teller and listener always must. In the mind of each, different images swirl up and fall away, and each holds on to a different part of the story, thinking it the most important. And if each were to speak what it meant, they would say things so different you would not know it wa sthe same story they were speaking of. "
― Chitra Banerjee Divakaruni , Queen of Dreams
14
" Two writings of al-Hassār have survived. The first, entitled Kitāb al-bayān wa t-tadhkār [Book of proof and recall] is a handbook of calculation treating numeration, arithmetical operations on whole numbers and on fractions, extraction of the exact or approximate square root of a whole of fractionary number and summation of progressions of whole numbers (natural, even or odd), and of their squares and cubes. Despite its classical content in relation to the Arab mathematical tradition, this book occupies a certain important place in the history of mathematics in North Africa for three reasons: in the first place, and notwithstanding the development of research, this manual remains the most ancient work of calculation representing simultaneously the tradition of the Maghrib and that of Muslim Spain. In the second place, this book is the first wherein one has found a symbolic writing of fractions, which utilises the horizontal bar and the dust ciphers i.e. the ancestors of the digits that we use today (and which are, for certain among them, almost identical to ours) [Woepcke 1858-59: 264-75; Zoubeidi 1996]. It seems as a matter of fact that the utilisation of the fraction bar was very quickly generalised in the mathematical teaching in the Maghrib, which could explain that Fibonacci (d. after 1240) had used in his Liber Abbaci, without making any particular remark about it [Djebbar 1980 : 97-99; Vogel 1970-80]. Thirdly, this handbook is the only Maghribian work of calculation known to have circulated in the scientific foyers of south Europe, as Moses Ibn Tibbon realised, in 1271, a Hebrew translation.
[Mathematics in the Medieval Maghrib: General Survey on Mathematical Activities in North Africa] "
― Ahmed Djebbar