Home > Topic > nia
1 " Imani ni nia ya kujua kisichoweza kujulikana na hupeleka watu kwenye ukweli. Kuamini hupotosha, na ni nia ya kudharau kinachoweza kujulikana. "
― Enock Maregesi
2 " Kuamini (mbali na imani, ambayo ni nia ya kujua kisichoweza kujulikana) ni kwa ajili ya vitu usivyoweza kuvielezea. Unaamini kwamba siku moja dawa ya UKIMWI au saratani itapatikana mahali fulani, ilhali huwezi kufanya majaribio ya kisayansi kulithibitisha hilo. Unaweza kusubiri hata miaka mia, lakini kama bado dawa haijapatikana, unaweza kusubiri hata miaka mingine mia. Kuamini ni kujifanya kujua (na mara nyingi kujifanya kujua ni uongo) na kuamini hakuhitaji maarifa. Kujua kunahitaji maarifa na ni kuamini unakoweza kukuthibitisha. Ukiniuliza kama simu yangu ipo mfukoni nitakwambia ndiyo ipo, kwa sababu nitaingiza mkono mfukoni na kuitoa na kuiona. Siamini kama ipo mfukoni, najua. "
3 " Katika dunia ya leo ambapo mamilioni ya watu hutegemea utandawazi kupata pesa, kuwa na imani kwamba kupokea pesa kutoka kwa mtu usiyemjua au mtu mwenye nia mbaya na wewe ni kikwazo kikubwa cha maendeleo kwa sababu, karibu kila mtu unayekutana naye ni Shetani. Shetani ni mtu yoyote mwenye nia mbaya na wewe. Hivyo, kama uliwahi kuambiwa kwamba kupokea pesa kutoka kwa mtu usiyemjua ni kitu kibaya futa imani hiyo. Utaachaje kupokea pesa kutoka kwa mtu usiyemjua wakati kila siku unamwomba Mungu akusaidie, na Mungu hutenda kazi zake pale tunapojisahau? La sivyo hutapata pesa unayotamani kupata katika maisha yako, na kamwe hutawaamini watu. Zaka huondoa laana ya mapato. Toa zaka kununua pepo uliyopewa na Mungu. "
4 " I’m not better, you know. The weight hasn’t left my head. I feel how easily I could fall back into it, lie down and not eat, waste my time and curse wasting my time, look at my homework and freak out and go and chill at Aaron’s, look at Nia and be jealous again, take the subway home and hope that it has an accident, go and get my bike and head to the Brooklyn Bridge. All of that is still there. The only thing is, it’s not an option now. It’s just… a possibility, like it’s a possibility that I could turn to dust in the next instant and be disseminated throughout the universe as an omniscient consciousness. It’s not a very likely possibility. "
― Ned Vizzini , It's Kind of a Funny Story
5 " she drew me. But not who I see in the mirror. Nia saw the Oscar i keep hidden. And she put him on paper. Nobody sees the real me. "
― Pam Bachorz , Candor
6 " Aaron was beside himself grabbing his keys and running out of his office leaving everyone staring at him. He heard Becca call his name but he didn't have the time, Nia needed him and he had to go now! He felt like he was suffocating as he started the car and pushed the gas down as far as it would go. This guardian bond thing was more intense than he ever thought possible. "