Home > Topic > hakuna
1 " Wanasayansi wanasema hakuna Mungu kwa sababu hawawezi kumwona wala kumgusa. Lakini nao hawana akili kwa sababu hawawezi kuiona wala kuigusa. "
― Enock Maregesi
2 " I’ve got some questions,Are you sick of feelin’ sorry?And people sayin’ not to worry?Sick of hearing this hakuna matata motto,From people who won the lotto,We’re not that lucky.Have you noticed that you’re breathing?Look around and count your blessings,So when you’re sick of all this stressin’ and guessin’I’m suggestin’ you turn this up and let them hear you sing it "
3 " Kuna nguzo saba ambazo hazina budi kuzingatiwa kama unataka kuheshimiwa na kuwaheshimu wengine. Kwanza kabisa jitambue: wewe ni nani na unafanya nini hapa duniani. Halafu, kabla ya kusema jambo lolote kwa mtu yoyote fikiria kwanza maana au madhara ya hilo unalotaka kulisema. Kisha jifunze tamaduni mbalimbali na watendee wengine kama vile unavyotaka kutendewa au kama vile wanavyotaka kutendewa. Jifunze kusamehe na kusuluhisha migogoro katika jamii unamoishi huku ukidumisha heshima na utu kwa binadamu wenzako. Jijengee imani kwa watu, punguza upendeleo, fanya kazi kama timu kwani hakuna ‘mimi’ katika umoja ila kuna ‘sisi’, na jitahidi kwa kadiri ya uwezo wako WOTE kwa manufaa ya wote. Kuwa kiongozi katika kila jambo unalofanya na katika kila kitu unachofanya. Jitahidi kufanya jambo au kitu kwa usahihi kwa kadiri utakavyoweza. "
4 " My space imekuwa null na void hakuna jokes ni poetry na voice so i write for my niggas who will never make it,inspire my friends who already have it. "