Home > Author > Enock Maregesi >

" Hii ndiyo kanuni ya nguvu ya uvutano: Kuamini = kujua! Haijalishi unamwamini Mungu au haumwamini. Kugeuza kuamini kuwa kujua si kazi rahisi hata kidogo, lakini ukigeuza kuamini kuwa kujua utafanikiwa. "

Enock Maregesi


Image for Quotes

Enock Maregesi quote : Hii ndiyo kanuni ya nguvu ya uvutano: Kuamini = kujua! Haijalishi unamwamini Mungu au haumwamini. Kugeuza kuamini kuwa kujua si kazi rahisi hata kidogo, lakini ukigeuza kuamini kuwa kujua utafanikiwa.