Home > Author > >

" Maisha ni kitabu cha hadithi.
Kila huamkapo unafungua ukurasa upya
Zipo kurasa za kusisimua,za uzuni,za kuchosha na vile vile kuna kurasa kumbuka.
Mwenyezi Mungu pekee ndio mfunuaji wa kurasa hizo.Na yeye ndio anajua zimebaki kurasa ngapi na za Aina gani.
Sababu yeye ndio mumiliki halali wa maisha yako.
Nia na lengo lake sisi sote tumtegeme yeye katika kila jambo.
Hivyo basi kila binadamu anafaa kumwomba afungue kurasa njema na kurasa mbaya afunike. "

Image for Quotes

quote : Maisha ni kitabu cha hadithi.
Kila huamkapo unafungua ukurasa upya
Zipo kurasa za kusisimua,za uzuni,za kuchosha na vile vile kuna kurasa kumbuka.
Mwenyezi Mungu pekee ndio mfunuaji wa kurasa hizo.Na yeye ndio anajua zimebaki kurasa ngapi na za Aina gani.
Sababu yeye ndio mumiliki halali wa maisha yako.
Nia na lengo lake sisi sote tumtegeme yeye katika kila jambo.
Hivyo basi kila binadamu anafaa kumwomba afungue kurasa njema na kurasa mbaya afunike.